Hii mapambano ilianza na wanafunzi wa Langata road primary school. Mimi na wengine hapa tulikua huko.
Viongozi wa Serikali kutoka pande zote za Jubilee na Cord wakasema kila shule itapata cheo.
Hadi sasa waKenya kule Lavington, Maralal, St Bridgets, Naka wamejitahidi kulinda shule zao
Tunajua, wakati nzige wanakuja kukula mahindi, hakuli mahindi wa jirani pekee, watamaliza zako na zangu.
Asanteni wa ujasiri ku rejesha Mwamdudu.
Asanteni kwa ku simama na shule zote nchini.
Asanteni kwa sababu mme jibu vita kwa kuzingatia ungwana, haki na sheria.
Kesho tutaongea na Governor wa Kwale
Kesho kutwa tutaongea na walimu wa Kepsha nita wahamasisha kuhusu Mwamdudu
Leo nyinyi mmapatie walimu, wanafunzi na wazazi nguvu kusema “Shule hii, haitauzwa leo au kesho!!!”
Asanteni
Mwamdudu, Kwale County, Kenya
For more see:
Comments